Tamasha hili limepewa jina kwa heshima ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na limelenga kukuza utamaduni wa Tanzania kupitia mavazi huku likionyesha mchango mkubwa wa Rais Samia katika kuikuza sekta ya sanaa,ubunifu na mavazi.
Tamasha hili litaendeshwa kwa muda wa siku saba, likijumuisha matukio mbalimbali ya kuwawezesha wanawake, watoto, na vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki.
Kauli mbiu ya tamasha hili ni “Ubunifu na Stara” ambayo inaakisi taswira ya nafasi na haiba ya mama yetu mpendwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, na namna jamii inaweza kutumia haiba hiyo yenye stara katika nyanja mbali mbali za kijamii, kama vile mitoko, sherehe, shughuli za jioni na haswa ikiweka msisitizo katika malezi na utamaduni wa Tanzania.
Kiasi cha chini cha kudhamini
Kiasi cha chini cha kudhamini
Kiasi cha chini cha kudhamini